Siku ya leo wanawake vijana viongozi tumeungana na mtandao wa kupinga rushwa ya ngono kutoa tamko na ufafanuzi wa hoja zilizoibuliwa na kamati ya @bunge_tz juu ya mabadiliko ya sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa kifungu cha 10b.